Natagemea soon mwananchi watakuja kukanusha hiyo habari! Ni kweli kuna tatizo la ulevi na kupelekea huduma za kimahusiano kupungua ila swala la kukodisha/kununua wanaume kutoka Kenya ni uongo mtupu.
Hakuna kitu kama hiyo, huwezi kujumuisha habari ya hivyo kwa sample ya Mtu mmoja! Rombo ni wilaya sasa mwanamke mmoja kutafuta hiyo huduma Kenya haimaanishi ni wanawake wote.
Ukweli wa kisanga hichi uko ITV, hao mwananchi ni wapotoshaji tu. But the bottom line ulevi upo tena uliokidhiri na umedhoofisha afya za wanaume wengi sana na kupelekea wanawake Kuwa ndio nguzo na mihimili ya familia.
Na hii haina maeneo, ni mkoa wote wa kilimanjaro swala la ulevi limekuwa shiidaa.....pombe asubuhi kama chai!
Sent from JamiiForums