lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Swali linakugeukieni wa mkoani heb fanyeni tathimini kati ya mkoani na dar ni wapi kwenye majengo mengi? Na ni nani ameyajenga?Swali linakugeukiaeni ninyi wanaume wa dar. Mje mtuambie kwanini mnashindwa hata kitu kidogo kama anachofanya huyo mama?. Kwanini mnashindwa hata kunyanyua tofali?
Scopion angekuja mkoani angegaragaza mikoa minane hiviWanaume wa dar bwana, washaanza kujitetea baada ya kushindwa kumzuia scorpion asimtoe mtu macho kwenye hadhara
Swali linageukia kwa wanaume wa dar tena. Kwanini mnashindwa kujenga hata nyumba ndogo tu ya kuishi mnawaita wachina waje wawajengee?Swali linakugeukieni wa mkoani heb fanyeni tathimini kati ya mkoani na dar ni wapi kwenye majengo mengi? Na ni nani ameyajenga?
Swali linageukia kwa wanaume wa dar tena. Kwanini mnashindwa kujenga hata nyumba ndogo tu ya kuishi mnawaita wachina waje wawajengee?
talks