lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Mi wa mjiniKwani wewe wawilayani
wote wa mkoani tu haijalisha wanatokea mkoa gani,iwe mbeya,mara.arusha nk wote wa mkoa tuMkuu ina maana hao wanaume wanatokea mkoa mmoja? Wanaume wa dar itabidi mje tuition ya lugha ya kiswahili mikoani [emoji23][emoji23][emoji23]la sivyo hariri kichwa cha uzi
Kulikuwa na wosia jeneza libebwe na wanawake pekee. Wewe ulitaka tufanye nini? Tuvunje wosia? Je, wanawake wa Dar wangeweza kubeba hilo jeneza? Wangekubali kuharibu kucha, kope, masaburi na nywele zao bandia?Haya wanaume wa mkoani mna nini cha kusema kuhusiana na hii picha?
Hivi majuzi mlikuja hapa jukwaani na kashfa kibao mkisema wanaume wa dar wakija kwenye mazishi hawawezi hata kufukia kaburi.
Kimsingi hapa mmeonyesha udhaifu mkubwa mno.View attachment 397019
Defence mechanismMarehemu aliacha wosia jeneza lake libebwe na wanawake pekee. Wewe ulitaka tufanye nini? Tuvunje wosia wa marehemu? Je, wanawake wa Dar wangeweza kubeba hilo jeneza?
Waambie wenzako mje hapa mtengue kauliMkuu ina maana hao wanaume wanatokea mkoa mmoja? Wanaume wa dar itabidi mje tuition ya lugha ya kiswahili mikoani [emoji23][emoji23][emoji23]la sivyo hariri kichwa cha uzi
Feel free to use it too. Mwanaume wa Dar !Defence mechanism
Njooeni wa mkoaniFeel free to use it too. Mwanaume wa Dar !
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa dar wanakodi wabeba majeneza hadi waliajiKulikuwa na wosia jeneza libebwe na wanawake pekee. Wewe ulitaka tufanye nini? Tuvunje wosia? Je, wanawake wa Dar wangeweza kubeba hilo jeneza? Wangekubali kuharibu kucha, kope, masaburi na nywele zao bandia?
SHIMBA ameshatengua kauli hapo[emoji121]. Wanaume wa dar sio kuchimba kaburi tu hata kuweka sura kimsibamsiba hamuwezi nyuso zilishapakwa poda zimelelemukaWaambie wenzako mje hapa mtengue kauli
Sura za msiba za nini mkuu? Waache wafu wawazike wafu wenzaoSHIMBA ameshatengua kauli hapo[emoji121]. Wanaume wa dar sio kuchimba kaburi tu hata kuweka sura kimsibamsiba hamuwezi nyuso zilishapakwa poda zimelelemuka
Ni mkoa ila sio mkoani. Huko kwenu ndio mkoani yaani upcountriesHivi Dar sio mkoa ni nini?