Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Sio naandika kinafiki uzi huu ni ukwel kabisa ndugu zetu wa mkoa mnakwama wapi?? Bado mna mapenzi ya kishamba sana badilikeni bwana.
Unakuta mwanaume wivu umejaa , mwanaume unanuna kisa dem kakunyima papuchi, mwanaume una demu mmoja eti mnafeli wapi?? Mwanaume hujui uvinza wapi??
Ndomana madem zenu wakija hku wakakutana na sisi tunawachapia kwasababu sisi tunajua nini maana ya mapenzi uchafu wote tunafanya.
Mwanaume wa dar hta achapiwe demu huji kuta analalamika jf au wapi uko, atavunga atatafuta mnyonge nae atakulaa. Wenzetu ukiachwa na demu unaenda jinyonga duu hatari mwanaume wa dar hapo atatafuta chombo mpya haraka kwa line.
Kingine hamjui kuish na madem zenu hamjui kugharamia mnajisifia mpo vzr kitandani hii ndo silaha yenu eti, afu pia ni wachafu badiliken jaman.
Ndomana madem zenu wakija dar kusoma chuo,kazi nk akakutana na sisi lazma akuache, wengi mmeachwa na madem zenu baada ya kuja dar hku. Badilikeni msijikute wagumu kazi kutuponda tu sisi wanaume wa Dar wkt nyie ndo zero kabisaa.Mapovu ruksa
NAWASILISHA KAMA MWANAUME WA DAR
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana ndugu, hivi wanaume wa Dar mnanguvu za kiume kweli? Tuanzie hapo kwanza. Suala la kumlamba lambs mwanamke mpaka uvinza unalitoa wapi na wakati mjegeje umekaza mpaka unauma?
Manalazimika kutumia ulimi na mambo mengine mengiii kwasababu wakati mwingine huwa mnamaliza hata kabla ya mchezo.
Hahahaahahahahaha sasa bro Mimi nautoa wapi muda wa kumremba mwanamke au msichana? Yaani nimkamue mpaka anaomba poo, nimpe na hela ya kumpendezesha? Aisee samahani huwa tunatoa za vocha na matumizi kidogo tu.
Poleni sana kwa masifa hewa mnayopewa na hao wachache wanaokuja vyuoni lakini vyuo vikifunga huwa wanarudi speed kutuwahi malijari tuwatoe nyegezi ambazo walilimbikiza semester nzima. Nyie huwa mnafanyiwa mchezo tu na vidada vinajiliza ili kupata upenyo wa kupigia Pesa tu. Ngoja niishie hapa nitakuja na thread yenu maana saizi kuna wadada kadhaa wamerudi natakiwa kuwaondolea nyegezi, nikimaliza watanisimulia mengi tu.
Ila wanaume wa Dar mnatuchosha kitu kimoja tu...kushare make up na sisi
Unakuta umejinunulia poda ya mwezi,kisa unadate na wa Dar mnatumia week mbili
Badilikeni basi nunueni make up zenu!