Wanaume wa mkoani bana

Hmm! Sijui ni nani huyu aliyesababisha wanaume wote tuliopo Dar tunatukanwa kiasi hiki!...
Wajinga hao wapuuzi wakubwa unapomzarau binadam mwenzio sio poa harafu pia katika familia zenu nyie mlioko mikoani mna watu wako dar sasa cjui mnawazarau watu wa dar mnakuwa mnawazarau na hao ndugu zenu au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…