wanaume wa mikoani sijui ila nawajua wa arusha wapo ka wadar tu hakuna inshu ingine .
Hawawezi kummudu msichana always ukisikia mwanamke analia muulize unalia kwanini kwafuraha au karaha yaani meaning hajui chochote.
Anaweza awe amebarikiwa haujui kutumia.
Msisifie wa mikoani hawajui kitu wanayotu nguvu.
Wadar asilimia kubwa wanapenda kumjali mdada kama nini .
Sijawahi pata mkaka wadar halafu hanitunzi.
Wamikoani ni wanaume wasiojua matunzo na kumjali mtu ila kwa dar asilimia kubwa your in a safe place.
Kula ndio nini kwao they take good care of you bhana .
Nawanasema ukweli uwa nimeoa .
Oh atakaa kwa muda halafu atasema tu ukweli kumbukeni asilimia kubwa watu wadar sio wote wamezaliwa huko ila wengi ni wamefikia huko.
Ndio hivyo ndio ukweli wenyewe.