Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,024
- 2,455
hahahaha tutakufa tu mkuu ila co kuweka airbag na brekEndeleeni kufa kiume mnaona sifa
et bhn wakishirikiana na a moroWavulana wa Dar hawajui hata rejeta
hamuwawez c mshaambiwa mnakua goi goi vtandan ky karanga maji viagra pweza af bdo chaliSawa mkifa tutakuwa tunawatunzia wake zenu na mabinti zenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] guarantee ipo nae c bdo ana chembe chembe za mkoanIngekuwa kufa kiume unakua na guarantee ya kuwa sambamba na yule mkuu wa malaika mbinguni ingenoga sana
ndo uanaum wa mkoan mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf raha sanaIngekuwa kufa kiume unakua na guarantee ya kuwa sambamba na yule mkuu wa malaika mbinguni ingenoga sana
aisee kwa kweli, hongereni shambaboys[emoji23] [emoji23] [emoji23] guarantee ipo nae c bdo ana chembe chembe za mkoan
We wa mkoa au?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf raha sana
Mkoa ManyaraWe wa mkoa au?
Mwishowe mtasema mnaoga mara 1 kwa mwaka![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23]habarini wanajamii.
kama kichwa cha habari kinavoonesha ushirikiano na picha ya chini hapo.
wanaume wa dar gari zao zote zina airbags watu wa mikoani tunakufa kininja hatuhitaj kuwa na airbags wala breki kwenye gari zetu
View attachment 724796
NB:hii ni nchi huru povu ruksa.
[emoji23] [emoji23] ndio hata kumilika boxer zaid ya mbili ni mwanaume wa dar..mwanaume unamilik boxer 4 unaingia hedhi?Mwishowe mtasema mnaoga mara 1 kwa mwaka![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23]