Wanaume wa Marekani mna nini?

Ila huyu nahisi ni yule bi dada anayetukana watu kwenye mitandao. Maana haiwezekani amekuta tunafurahi alafu analazimisha ugomvi.

Mange Kimambe nini mkuu? Mimi mwenyewe nilihisi lakini huyu ni mweupe mno!
 
JF kuna maajabu, kampuni gani huu mlupo ni mkurugenzi? Nani anafahamu ukurugenzi wa Freema Agyeman mkazi wa NYC!
Hapana huyo ni mkurugenzi wa ngono katika vibanda au magenge ya kuoneshea video katika mida ya usiku mwingi,pale ndio huwa anatuuzia kwa kupanga foleni,ni kimbilio lletu madomo zege.
 
Ulijuaje? alikuwa anakukandamiza na kukupumulia usoni na hiyo harufu uliisikia kama marashi na ilikupandisha mzuka,ila baada ya kubwagwa sasa imekuwa harufu mbaya au vipi?

Mkuu hii mijitu ndio inayotuletea gundu, tujulikane tunawala akina Valentina bure kumbe sio kweli. Sasa jitu linajitangaza mimi nimelitia?
 
Jamani. Kimeni kabisa kuniandikia vi PM vya kunityliza nyie fisi. Mnanipotezea muda kuja kujibu upuuzi wenu. Tena wengine mibaba mizima na watoto South states huko.
 
Hapana huyo ni mkurugenzi wa ngono katika vibanda au magenge ya kuoneshea video katika mida ya usiku mwingi,pale ndio huwa anatuuzia kwa kupanga foleni,ni kimbilio lletu madomo zege.

Kama yupo NYC kweli basi anafanya kazi za kuuza K, vinginevyo angekuwa na ujasiri wa kutupia japo picha moja kama Nyani Ngabu angalau kuonyesha mitaa alipo.
 
Jamani. Kimeni kabisa kuniandikia vi PM vya kunityliza nyie fisi. Mnanipotezea muda kuja kujibu upuuzi wenu. Tena wengine mibaba mizima na watoto South states huko.

Nyau kweli, nani akuandikie wewe PM, leta screenshot.
 
Jamani. Kimeni kabisa kuniandikia vi PM vya kunityliza nyie fisi. Mnanipotezea muda kuja kujibu upuuzi wenu. Tena wengine mibaba mizima na watoto South states huko.

Nasema hivi, wewe ni mbuzi, leta ushahidi wa kuandikiwa pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…