Unamiliki Alteza bado unabomu mafuta ya sh 30,000 au 50,000. unajnishusha hadhi!! wewe mfuate msalimie mwabie na wewe umemzimia kodisha hotel kali akukute una khanga tu hatel ya 5 star sasa hpo muone atakavyohangaika. na hapo ukitaka sio 30,000 bali pesa ndefuu. shida mnajiweka cheap, sasa unaomba hela na vocha, sijui njaa kula. if you play chips utakuwa cheap na mtu serious atakuignore.Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Siyo kama najiuza. Ila watu wananisumbua sana PM.Jerrymalisa said:Hahahahaa... kwel kila mwanamke anajiuza.
Tatizo ni kujua jinsi anavyoifanya iyo biasharaa...
Sawa mama nipe namba nikutumie ela ya mafuta uje Arusha.
Sura ninayo. Na shepu ninayo. Huwezi kunilinganisha na videmu vichovuchovu
Hujui kupenda
Tupia picha na ID za hao wanaokusumbua PM nikutumie hela dearSiyo kama najiuza. Ila watu wananisumbua sana PM.
hahaha acha uzamani ka mtu kakuvutia jiongeze mfate kwa gharama zako ka alitaka mkutane muache ajiongeze yy sio unatuita wanaue hewa wakat unaweka complications mwenyewe...............its 2016Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
we mdada em ata angalia posts zako kabla hujazweka...............mwanamke ni kuhudumiwa sio kuombaMwanamke kuhudumiwa
Tupia picha na ID za hao wanaokusumbua PM hapa nikutumie hela dear
Njoo pm tuyamalize mrembo JaneSiyo kama najiuza. Ila watu wananisumbua sana PM.
IC wewe mkali kwanza ushaanza na dongo la kujiuza! then watoa ofa sasa akikubali anatimiza ulichosema!! na ndio maana wanaishia kuomba then ukituma hawaji ng'o!!Hahahahaa... kwel kila mwanamke anajiuza.
Tatizo ni kujua jinsi anavyoifanya iyo biasharaa...
Sawa mama nipe namba nikutumie ela ya mafuta uje Arusha.