Wanaume wa JF mna shida gani?

ID fekero....avatar fekero kisha unaongelea matusi tena yanayotoka kwa wanaume kupitia media,we'ni kidenya sana.Kwanza go brush your teeth kisha urejee vema.Ni mimi mdogo wako Njokiledoni.
And this is exactky what i am talking about.
Id na avata zaweza kuwa fake lakini anayecomment ni binadamu sio kuku.
Mtu huwa halisi sana anapohisi hakuna anayemfahamu, utajiuliza what if alichoandika ni uongo? Then jibu ni ameandika fantancy ya vile anatamani kuwa(hii ni kwa wale wanaofake maisha mitandaoni) hivyo hiyo bado haiondoi uhalisia wake.
 
Kama nimekuelewa hivi
 
Hili chujio litakuwa limetoboka maana linapitisha makapi zaidi.
Ukomavu wa akili huchangiwa na umri, mazingira, malezi na ustaarabu binafsi. Hapa tulipo ni chujio la yote.
 
Punguza Stress, Inaonekana waliokukaribisha JF ni wavulana. Kwa niaba ya wanaume wote karibu JF
 
Nadhani kila mwanaume aliekamilika idara zotee kuna mwanamke shupavu nyuma yakee

Nadhan sababu piaa ni aina ya wanawake walio nyuma yetuu
Hapa unaongelea mama, kweli hapo kwenye malezi inabidi tujitafakari kama jamii. Ila ukikua na kupevuka na kujisimamia ni vyema ukatambua njia sahihi ya kufuata(huko ndio kukua)
 
Jibu lako hilo hapo.
 
Mwanaume unao wataka mbona tupo sema umeshindwa kugundua kama kuna vijana wa miaka ya 90 nakuendele ndio wanaosumbua kichwa yako amini nakuambia mtu mzima kama mimi hakuna asye mwelewa labda awe mlevi wa majani
 
Sawa.
Mkuu nakupongeza kwa uwezo mkubwa wa kuandika makala ndefu.

Lakini nasikitika tu kusema andiko lako limekaa kihisia zaidi na sio uhalisia.
Probably you are just relieving your stress. Let me not judge this deeply until u come up with crucial facts.
 
Umejuaje wachangiaji wa humu kuwa ni wanaume ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…