Wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
644
Tukutane kwenye kikao chetu Cha saa 7 mchana kesho., Chips yai, urojo, supu ya pweza, mayai ya broiler, juice ya miwa na vingine vingi vitakuwepo fika bila kukosa

Ukumbi ni ule ule wa siku zote
 
Tukutane kwenye kikao chetu Cha saa 7 mchana kesho., Chips yai, urojo, supu ya pweza, mayai ya broiler, juice ya miwa na vingine vingi vitakuwepo fika bila kukosa

Ukumbi ni ule ule wa siku zote
Broiler hatagi ni kwa ajili ya nyama tu.
 
Msisahau kachori,ubuyu,ice cream za bakhresa,pipi za kijiti na biskuti...tafadhali!
 
Back
Top Bottom