Wanaume wa Dar, je hii ni kweli?

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,995
Nimekuta hii video sehemu
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa Dar kazi kweli kweli
 
Halafu tuheshimiane.

Hata mh wetu ni mwanaume wa mkoani, kwahiyo mnatafuta ugomvi usioisha akiiona hii.
 
Sijaangalia hata hiyo vedeo lkn Dar ni hatari sana kulea Watoto ktk maadili mema 7bu kila aina ya ujinga huanzia Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…