Wanaume: Vijue visa vya michepuko

We jamaa ni muongeaji mzuri sana, nadhani unaongoza kwa kutoa thread kwa muda mfupi na uko fasta kujibu kila comment kama yangu hii unavoijibu sasa iv....
Usimsifu Mgema, Pombe akaitia maji
 
Reactions: THT
Nimecheka Sana kwa kweli
 
Umesema kweli ila kumwacha mchepuko ni kazi kubwa kuliko kumwacha mke! Mchepuko ni kama bando la chuo,ni msaada mkubwa sana kwa wenye long calls ila Main Chick she's just there!
Kumbe ndio kazi zao hizo? Sasa hiyo long call si ukaipigie kwa mkeo?
 

STUNTER nakugawa!! Umewaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…