Wanaume: Vijue visa vya michepuko



Kama umeoa then Mkeo namuhurumia
 
Katika topic zako zote, leo umenena mkuu, ni kweli tupu.
 
Reactions: THT
Na akikukosa kote huko anakuwekea kufuli lake kwenye mkoba wa kazini au kwenye gari
 
Reactions: THT
Dah!
Wengine Wana nidham balaa yani Hadi 'Laha Lohoni Unafulahia' tu.
 
Kila ukilala,ukiamka unawaza leo nitoe thread gani,hivi unaga shughuri nyingine ya kufanya au hunaga cha kusema hd utuseme kila siku wanawake?yani nakupatia picha ht huyo demu wako yukoje?ndio nyie mnakujaga kutoa siri za wake zenu ht km kajamba utaenda kumtangazia,lol acha hizo bhana
 

Alikuwepo monicca naona kapumzika sasa kamuachia kijiti
 
Nimependa hapo pa kusugua na steel wire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…