chips yai ni sawa kula mboga tupu.......yai mboga na kiazi mviringo navyo viungo tu vya mboga .....kula chips yai ni sawa na kula mboga tupu
Hapo kuna kikongwe na mjukuu...ngoja waje uone hyo mwamba ngoma yake.
Madame B wanashikashika tu hawali wakashiba...
Kwani ulikuwa hujui kama naumwa au unajishaua?
Au kwa kuwa bwana wako yupo kwenye mkumbo wa wala kiepe-yai!
we mi najikubali ukitaka lianzishe
mara maji mara juice mara kalimati mara pilau mara wali mweupe mara chapati mara kitumbua mara ukwaju!
KHAAAAAAAAAAAAAAAA si watulieeeeeeeeeeeeeeeeee!ahahaahhahahahhahahha yani walahi mmenipa cha kucheka lunch hii mwe!!

...ndio maana huishia kufia vinenani mwetu.
Mtu katoka kula mayai mawili na chipsi za nyongeza hata maji hajanywa aja kuomba game, kwanini Izirail asimuite!
Ha ha ha haswaaa!!Pele limepata mkunaji...
Mwalimu naskia umeniita
Leo naona madogo wanakula za uso. Mtaani madogo wanatuita majoka ya kibisa tumejichokea, hapa nastaajab kumbe na uzee wetu mabinti wanatukubali lol
Vyepe mayai yasiyo na mbegu za jogoo vinawaumbua. Si tunapiga ugali wa mhogo na makongoro tunaonekana mabwege. Tutaendelea kuwasadia madem zao mdogomdogo, hatuna jinsi.
na kwenye kazi tuko vizuriKwani hatujui kama nyie wasukuma mnapenda sana kula.
ahahahahhahahahhahaha wapi ugali wa dona na samaki wa kuchemsha na kati ya brake pwenti!Mwalimu naskia umeniita
Leo naona madogo wanakula za uso. Mtaani madogo wanatuita majoka ya kibisa tumejichokea, hapa nastaajab kumbe na uzee wetu mabinti wanatukubali lol
Vyepe mayai yasiyo na mbegu za jogoo vinawaumbua. Si tunapiga ugali wa mhogo na makongoro tunaonekana mabwege. Tutaendelea kuwasadia madem zao mdogomdogo, hatuna jinsi.
hahahah
Twende nao kwa akili kaka. Tukiteleza inakula kwetu. Leo tuwaunge mkono kwa asilimia nyingi.
Wakitugeuka tunahamia jukwaa la siasa mpaka upepo upite.
Ha ha ntake radhi nlishadeclare interest kabla hujaja kuwe mie wangu yuko 40's na kiukweli ndo unaniambia kuwa unaumwa sina taarifa mie na wewe tena dada mkubwa aaaa ngoja nikupigie kwanza!!!!!