Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
ni kweli lakini, angalieni sinema ya ngasa, yuko staili moja hiohio lazima mwanamke akuchoke...
Mijana inapiga ishu ile mbaya ila tatizo experience tuuuuuZahra tutake radhi. Wewe umekutana na wachovu 3 basi umeshaamua kutuweka wote katika kundi hilo. Three rascals can't put all of us in a class with a bad name. Kuna watu wanasimamia utaomba poo. Tafadhali binti futa kauli.
ahahaahhahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahhahahahhahahhaha
nilikuwa sijacheka toka asubuhi!
kwahiyo Zahra White unataka kusema vijana waendelee tu kupiga supra na suruali za kijani wazee wa njenje ndo mpango mzima!
ahahahhaha wapi dogo langu la toka enzi za mwalimu Madame B
Nipo dada, si unajua dripu ziliugandisha ubongo wangu kwa muda?
Ila kiukweli hivi vi akina-Timbulo, vi-Diamond, vi-HBaba blahblah nyiingi...na ukifika navyo kitandani hakuna kitu.
Kwanza haviongi, vibahili, ndio maana sie tukikamatwa na minyege, breki ya kwanza ni kwa tambi la njenje langu,bonge la bwana.
Lazima anikatikie mauno ili asiachwe na mie mtoto wa mjini...atauzia sura wapi,siku ya msiba!
Vijana tumewachoka kwa kweli.
Kutwa wanajishaua kunywa chuzi la pweza.
Wameshindwa mchana na taa ya Mungu...wataweza usiku na mwanga wa mzungu?
chips yai ni sawa kula mboga tupu.......yai mboga na kiazi mviringo navyo viungo tu vya mboga .....kula chips yai ni sawa na kula mboga tupuNdio maana sisi Wasukuma chips yai kwetu tunakula kama matunda tu...
Nimekumiss Madame B ulikosekana wewe kwenye hili jisredi
Ngoja niwape vijana maujuzi: demu wako mwambie apandie mzigo ajipimie halafu apigeeeeeee utamuona kila baada ya dakika tatu au nne anatoka povu na analala kifuani liroho likidunda kama linataka kunyofoka; usimwachie akapumzika zaidi ya sekunde sitini mrudishe kazini mwambie piga mzigo bibie manake mda huo mpingo bado umeenyoka kama unataka kupaa. Akirudi kazini utamuona kila baada ya dakika mbili au tatu analipuka na kujituliza kifuani akiwa hoi bin taabani ukiona kaishiwa nguvu kabisa geuza weka chini chapa mzigo fasta nawewe ushushe mzigo. Hapo kama kazimia mwagia ndoo ya maji.
Mtani hili jisredi limetupiwamo siku muafaka...
Madame B wanashikashika tu hawali wakashiba...hata nami niliwamiss sana mwanawane.
Naona hapa jinsi vijana wanavyovutana pumzi na madada ya town.
Mie ndio maana sitaki kabisa nyeti yangu ivurugwe na hawa serengeti boy, wataipiga kama show tu wala si kwa starehe.
Mambo yote ni kwa akina Ngombale Mwilu's type....game yao si mchezo.
ahahahahhahahha tatizo lenu ndo hilo mnaamini kila kazi inataka nguvu,ahahahahhha KWANI ZEGE LA GHOROFANI hili?Ngoja niwape vijana maujuzi: demu wako mwambie apandie mzigo ajipimie halafu apigeeeeeee utamuona kila baada ya dakika tatu au nne anatoka povu na analala kifuani liroho likidunda kama linataka kunyofoka; usimwachie akapumzika zaidi ya sekunde sitini mrudishe kazini mwambie piga mzigo bibie manake mda huo mpingo bado umeenyoka kama unataka kupaa. Akirudi kazini utamuona kila baada ya dakika mbili au tatu analipuka na kujituliza kifuani akiwa hoi bin taabani ukiona kaishiwa nguvu kabisa geuza weka chini chapa mzigo fasta nawewe ushushe mzigo. Hapo kama kazimia mwagia ndoo ya maji.