Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
Zahra tutake radhi. Wewe umekutana na wachovu 3 basi umeshaamua kutuweka wote katika kundi hilo. Three rascals can't put all of us in a class with a bad name. Kuna watu wanasimamia utaomba poo. Tafadhali binti futa kauli.
Wababa tumekusikia tutakufuata PM tuongee biashara...wababa above 35 oyeeeee!!!
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Kijana hujambo?chips yai noma

Ndio maana sisi Wasukuma chips yai kwetu tunakula kama matunda tu...
ni pm wazee washow tupoUtakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Ahahahaaaaa...naona una-justify kuliwa na vibabu huna lolooote. Hiyo sample yako ya vijana watatu kati ya vijana zaidi ya milioni 25 wa tanzania kwa mujibu wa sensa ya mwaka juzi..mbali na kugomewa na watu wenye iman mbalimbali za kidini bado tunaiamini kuwa ni sahihi.
Na je katika hiyo sample yako ulikutana na wenye mkono sweta?...maana hao wanasifika kwa kuwafikisha vileleni wanawake sugu kama wewe...kama hukukutana nao basi polee..rudi tena field ka-collect data kisha uje kufanya analysisi yako.
Wababa tumekusikia tutakufuata PM tuongee biashara...wababa above 35 oyeeeee!!!
Chezeya mipingo na kabumbu la wababa wewe...hadi 'mhamiaji haramu' kiswahili yake imekaa sawa sasa...
Kijana hujambo?chips yai noma
kumbe above 35 ndo wazuri eeh
shukrani kwa kunipa tips
below 35 waendelee kuuza sura samakisamaki na chips mayai na ice cream!