Kuana baadhi yetu huwa hatuki thamini tulichonacho na 2. wake zetu kujisahau 3. tamaa za kijingaUkiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
gve me some more plsUkiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
......umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
Kiukweli kama umempata wako wa ubani kisha ukamfanyia hayo tatizo litakuwa ni msingi wa mahusiano yenu,mfano kama ulikuwa unafikiri ndoa ni raha tu bila changamoto,ukaoa halafu ukakutana na utofauti lazima utahisi umeingia choo cha kike na utalazimika ukitafute cha kiume kitu ambacho ni kinyume chake,kwa kifupi haya ni mambo mapana sana yanahitaji muda kuyajua
ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
Kwa upande wangu naona ni matatizo yako tu na baadhi ya jamaa zako.Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
Kwahiyo umeamua kunitusi nikushataki kwa Br Mod??mungu anamadhumuni yake kunipa hii sura!jamani kama unanichukia nichukieni mimisikujiumba!!:A S angry:KAKA KIIZA kama ndio hiyo picha yako mmmh yani inanishangazaga kilasiku unatisha ujue mtu akikuangalia kwa makini.,kama mtoto anaweza lia kabisa
:nono: NaOMBA nikukatalie kuwa si kwamba wanaume ndivyo tulivyo! sema hata mimi nipo hivyo! basi.Hii sio kasoro, ndo wanaume jinsi tulivyo!na hii ndo siri ambayo dada zetu huwa hawaijui kabisa juu yetu!mwanamke unaweza ukamgharamikia sana tu, ukamjengea nyumba, ukamnunulia gari na mambo mengine kedekede, lakini kumbe mwisho wa siku jibaba ulikuwa unataka umege tu mara kadhaa kisha upotezee uangalie ustaarabu mwingine!
Kwahiyo umeamua kunitusi nikushataki kwa Br Mod??mungu anamadhumuni yake kunipa hii sura!jamani kama unanichukia nichukieni mimisikujiumba!!:A S angry:
Sio kasoro aisee, ndo ukamilifu wa kiume ati...
:doh:Thibitisha kwa kuiweka hapa!!labda unaota unataka kusema hii siyo sura yangu??