Wanaume tuweni makini!

mimi nakushangaa sn mwanaume mwenzangu hv kipindi hiki cha utandawazi ni cha kuhangaishwa na mwanamke mmoja kweli!!!? nitafute nikuonyeshe jinsi ya kuwapata hao walimbwende mimi mpk nafanya kuwakimbia
 
Halafu mkuu kulikua hakuna ulazima wakuandika faida nilopata milion50 ungeandika faida nilopata tu ingependeza. Hapa naona kama umejifagilia flan hv
 
Mbona me sipatagi wa kunipenda hivi.
kwikwii. Pole utampata wa kuupeda kwa dhati
 
Acha UBOYA WEWE,PIGA CHINI FASTA,MBONA MADEMU KIBAO .WATU WANAMLA MPAKA NDOGO
 


KICHWA CHA HABARI KILIPASWA KIWE, WANAUME TUSIWE WAPUMBAVU, MAANA HAYO YOTE UNAYOYAFANYA NI UJINGA NA NI BELOW NORMAL, LEAVE ALONE KUWA MAKINI!
 

Well said!! Big up.....
 
Mkuu kitu nilichogundua ukiwa na Mwanamke au ukamwambia Mwanamke ukiwa sirias suala la kumuoa yeye huwa hayupo sirias,ukimtania yeye ndiyo huwa anakuwa sirias,nadhani ulikosea kumwambia ukweli,we ungeanza kula mzigo ndiyo umgusie ukiwa unakula mzigo alafu akijisshau mpe kabisa mimba ndiyo ungekuwa umeuwa kila kitu na hapo atakuwa ameishiwa pumzi,mithil ya Mbwa amuonapo Chatu,na kingine Wanawake wanawapenda sana Wanaume ambao siyo waoaji na wenye sifa ya umalaya japo kimaneno huwa wanasema wanataka Mwanaume muaminifu,mtulivu na kujiheshimu ila kiuhalisia hawapo hivyo,ukitafuta wa kuoa kwa kuwambia ukwel ni ngumu kuwapata mkuu,maana hawa viumbe walishazoea kudanganywa na ukweli kwao ni uongo na uongo ndiyo ukweli
 
Ndiyo dawa yao
 
Kumpa mwanamke mil 20 ni sawa umenunua Papuchi kwa bei hiyo
 
Kwanza ww ni boya wa kufa m2
Unapewa taarifa za dem kucheat hufuatilii ila unaendelea kuhonga!

Unachukua 20m kumhonga dem ambae hujawahi kudate nae na unajua hakupendi!

Kwanza huyo dem nae mpolipoli kwani angechuku mshiko na kumwoa usimwoe kwani alikuomba hizo pesa, ilitakiwa achukue akamhonge shallo wake.

Hapo ndo ungejua kuwa uboya si ustaarabu bali ni ulimbukeni
 
Pole mkuu kwangu mm mahusiano yawe ya future ya siwe ya future papuchi lazm nilee , maana nawajua Michezoo yao ww ajifanya anakukazia ww kumbe kuna mjinga mmoja anaitafuna tu
 
Si umsahau tu hata akija na magoti. Jifanye humjui kwishne.Tatizo huna mademu wakali. Wakumuumiza roho.

Watu wengine sijui mna mapepo ya ufukara wa madem? Au macho yangu. Mungu kakuponya ukimwi.kifo nuksi mlango wa nane unakuja kulia lia hapa.hadi unatia kinyaa!

Sijawahi ona me Mwenye pesa eti kaachwa eti unalia lia. Huyo demu alikuona matawi.

piga magoti kasali na kushukuru Mungu. me mwenye pesa.sijui magari. Ni pesa pia anaringa bwana weee! Utasikia. "kaka pichukodada jamani umenipita hivi hivi"

""Aaah!!! samahani sijakuona "kiukweli"" hata uwe na mimvi km jiwe.Videm km mvua waweza lala nao hata kumi.

kazi yako kuzishika papuchi tu baasi wanaridhika au UMerogezewa chini?

Jamaa yangu kapigwa chini na dem wake mchaga wa kitambo, wana binti mmoja.

Jamaa angu kapiga kimya na kampatia hela ya kushukuru. So kamjibu na demu mkali wa South na akahama Bongo kabisaaa! Na uraia kachukua huko!!!

Huyu kamsahau kwanza ananuka jasho la bongo maji chumvi kisima nani anataka?

Huyo demu nampa miaka 3 mbele atakuwa km kinyago.choka mbaya

ukibisha muulize Nesi Mwabaya wa chalinze njia panda pale. Ana uza ugoro Siku hizi tena na cOvid hii huenda kesha kufa.
Kimya aliskia tu kwa watu
 
Wanawake hawatabiliki mkuu kikubwa upo vzr kipesa unaweza nunua hata malaya akuzalie mtoto ambaye atakua mrithi wako , mm dem wangu natomba kila siku na namkojoza vzr lkn bado dharau zipo pale pale kwahyo muda mwingine inakua hulka ya mtu, kwasisi ambao hatuna uchumi mzr tusipokuwa makini tunaweza kufa maskini kwa kuwaza mwanamke , pia kutojua background ya dem inaweza kukutesa sana maana unaweza kuwa unamlizisha lkn hakupendi ww yupo naww kwaajili ya nyege zake
 
Hii story yako inafafana na yangu kabisa, hilo ndio somo ambalo hata mimi nimejifunza kwa hawa viumbe . Hawanaga akili nzuri japo sio wote vumilia mzee hilo litapita mkuu
 
Duh we kweli ndezi,unahonga 29m kisa unabembeleza ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…