Kwa issue hii,Gwajima atawakosa waumini Wake wengi kwani matendo yake hayatoi nafasi kwa waumini kuendelea kumuamini Tena.
Kitabu chenu kinafundisha hayaAisee bahati mbaya Kitabu chetu hakifundishi uzinzi! labda upande wale wa upande wa pili wa jino kwa jino!
hahahahah namuita
Haya nambie ulichoniitia.
eti kila k umu ushaifunua
İkiwemo ya kwako?
dawa ya hao wachungaji ni kuwabanduaa wake zao hadi watoto wao maana wamezidi
maskini kondoo wa bwana wanatafunwa.[/QU
mkuu ulivosema kwa masikitiko nimecheka mpaka basi
mimi nimchepuko wako sikatai nazungumza webgine je
We si wajua bila ya wewe haisimamagi?