Mpenzi wako wa kike anapokwambia you special tukumbuke kuna mitumba pia
Mpenzi wako wa kike anapokwambia you special tukumbuke kuna mitumba pia
mioyo watu ishachakazwa hata uambiwe nini unaona mtu anakudanganya
Sasa tuwaambie au tusiwaambie?
Huu ndio uhalisia wa mambo. Kila mtu amevurugwa.
Kila mtu anajua special ni bora kuliko hiyo mitumba hakuna tatizo hapo mkuu.
Na kwa experience yangu fupi(hasa baada ya kununua bidhaa made for Afrika my whole life) nimezoe mitumba ndo iko vizuri sana kuliko 'Special'
Wewe ulitaka uambiwe vipi ili urizike
chara kwani unaelewa naongelea nin?
Ukitaka kila neno ulitafsiri kwenye mapenzi utashindwa tu
pouwa but yabidi iwe ivo
Mpenzi wako wa kike anapokwambia you special tukumbuke kuna mitumba pia