Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,482
- 8,655
Ukweli nikiri kuwa kwangu mimi Uchumi umeyumba Sana, Lakini Alhamdulillah pesa ya kula watoto inapatikana.
Mke wangu katika kiduka chake mambo yanaendelea hapa na pale anapata chochote lakini mmh masimango yameanza na asubuhi hii nimepata lisala ya nguvu na nimeambiwa hata nikikasirika lazima niambiwe.
Wanaume tutafute pesa hawa wenzetu ni wenzetu tukiwa nazo wanakuwa nawe bega kwa bega lakini hawa wenzetu si wenzetu mambo yakiyumba.
Pia ni wepesi mno kusahau fadhila na kila jambo ulilofanya huko nyuma wao wnaangalia wakati uliopo na wakati ujao si wakati uliopita .
WANAUME TUTAFUTE PESA