Wanaume tusiwapige wake

piga usiue ,mwanamke wakibongo bila makofi ndoa haiendi
 
umechemsha ,mbona mi nina mlinzi na sina shower nyumbani ,we unajua shida ya maji tabata au unaisikia maji yanakata wiki hayatoki so tusioge coz tuna walinzi
 
Ndoa zina mengi. Hiyo ya maji inaweza ikawa geresha tu.
 

shehe,ila huyu kapiga mpaka kaua,hasira hasara na jamaa yuko ndani sasa hawa watoto itakuwaje?
 
mwanaume akiwa na mihasira yake hasa akiwa na nyumba ndogo ndo kwanza anaona bi mkubwa ni wa kudunda tu. jambo halina maana yeye ngumi tu au gubu tu polee wee.:A S wink::cool2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…