Wanaume tuseme ukweli...!!

Wanaume tuseme ukweli...!!

yani kufanya mapenzi imekuwa kama ajira kwa wanawake kwa maana utendaji wa kazi ukiwa mbovu watu hulalamika...wanawake fanyeni kazi kwa bidii waajiri wenu(wanaume) wananung'unika
Nyuzi zimejaa tumechoka kuwalipa na bado wanatusema mtaani eti hatuwardhishi huku wana show mbovu.
 
Nlishawahi kutana na demu bao moja tu hataki tena yani la pili unafanya kumbaka halafu anataka nimuoe et atanisubiri nimalize kusoma nlimruka mbali kinyama yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu ni ngumu sana aisee
 
Ilaa hakuna kitu kigumu kama kumvumilia mwanamke mwenye Show mbovu walahii... Yani kwa kweli yataka moyoo sana hasa ukikuta wale dak mbili ashavaa chupi na kuna wa kulala kama Gogo kama yule wa gwajiboy aisee me huwa nakata mawasiliano chap...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu show mbovu ila hela anapendaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]


Kina dada mkiwa bed jishughulisheni jamani ooho utashangaa kila siku unaachwa na huwa hatusemi kama show mbovu utaona tu msg hazijibiwi na calls hapokei[emoji22][emoji22]
Atalalaje kama gogo wewe mbinue binue kila mtengeko nyanyua mguu mmoja pandisha miguu yote , kamatia shingo mpka awe kama mjusi kabanwa mlango, yaani kifupi mvurige kitanda ni uwanja wa vurungu kwa yule asiyependa vurugu
Harafu lete mrejesho achana na masihara kijana
 
Ilaa hakuna kitu kigumu kama kumvumilia mwanamke mwenye Show mbovu walahii... Yani kwa kweli yataka moyoo sana hasa ukikuta wale dak mbili ashavaa chupi na kuna wa kulala kama Gogo kama yule wa gwajiboy aisee me huwa nakata mawasiliano chap...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu show mbovu ila hela anapendaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]


Kina dada mkiwa bed jishughulisheni jamani ooho utashangaa kila siku unaachwa na huwa hatusemi kama show mbovu utaona tu msg hazijibiwi na calls hapokei[emoji22][emoji22]
Acha kutafuta huruma wanaume tunachapaga tu ataanza kutoa ushirikiano tu utakapoanza kugusa mihemuko yake sasa ajishughulishaje mwanaume unaingia kikonokono
 
Ilaa hakuna kitu kigumu kama kumvumilia mwanamke mwenye Show mbovu walahii... Yani kwa kweli yataka moyoo sana hasa ukikuta wale dak mbili ashavaa chupi na kuna wa kulala kama Gogo kama yule wa gwajiboy aisee me huwa nakata mawasiliano chap...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu show mbovu ila hela anapendaa[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]


Kina dada mkiwa bed jishughulisheni jamani ooho utashangaa kila siku unaachwa na huwa hatusemi kama show mbovu utaona tu msg hazijibiwi na calls hapokei[emoji22][emoji22]
ukikua utakuja kujua kuwa, mwanamke bora ni yule anayekupenda kwa kweli, asiye kucheat na mcha Mungu, bila kujali kama ana pesa au la, na kama ana hiyo unayoita shoo nzuri au la.

nina miaka mingi kidogo. kwa maisha niliyoishi kabla sijamjua Mungu hadi sasa, mengi nilishapitia. nilijifunza mwanamke yeyote anaweza shoo kama wewe mwanaume unajua shoo. kwasababu kama hajui, utamfundisha na kiumbe yeyote akisuguliwa vizuri hata kama ni mlemavu atajikuta amekukuruka kuunga ridhimu tu. shida itakuwa kwako. hapa naongea na wenye ndoa, ninyi waasherati acheni uzinzi.
 
Back
Top Bottom