Wanaume tupo hivi

Hakika, hawana SI Unit. NI kuishi nao tu kutokana na mood
Mecheka sana Jana sanaaa yaani mekuta vityu vya ajabu Sana kwa manzi wangu bhana yaani anamiki wanaume watatu wote anawaita waume zake na MIE pia ananiita mume wake
 
Mecheka sana Jana sanaaa yaani mekuta vityu vya ajabu Sana kwa manzi wangu bhana yaani anamiki wanaume watatu wote anawaita waume zake na MIE pia ananiita mume wake

Bado anawachambua kama karanga.

Kama alikuwa kwa ajili ya matumizi unaweza amua lolote ila kama ulikuwa na plan nae jambo la kufanya ni moja tu.

Fanya kama alivofanya Bujibuji miaka ya 1980's
 
mzee acha dharau kwa boda boda
 
Maisha yanakuwaga ya kiwack sana...

Kipindi mtu uko hoe hae wale pisi kali wanakuletea mapozi na wewe unajisemea nitaooa demu mwenye masters msomi mwenzako...

Cha ajabu ukitoboa unakuja kupelekeshwa na demu darasa la saba mswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ndo mc pili pili au Manara?
Si mmoja kati yao lakini ubinadamu hauko jinsi unavyofikiri wewe
Lakini naamini pia hauna ulichowazidi hao uliowataja
Jitathmini Ni kipi Cha zaidi ulichonacho kuliko hao jamaa
 
Si mmoja kati yao lakini ubinadamu hauko jinsi unavyofikiri wewe
Lakini naamini pia hauna ulichowazidi hao uliowataja
Jitathmini Ni kipi Cha zaidi ulichonacho kuliko hao jamaa
Mbona povu sana mkuu,mimi nimeuliza tu mkuu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…