AhsanteWanawake ukitumia akili saaana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa [emoji1787]
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali [emoji1787]
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
we jamaa umeongea madini tupu tatizo wachache sana wata kuelewa. Hii ni wake up call pambana mzee fuko unenepe pisi kali zipo na zita kuwepo tu. Acha kutumia akili nyingi kwa papuchi hahahahhahaa hao walio nazo hawa taki utumie nguvu kubwa kufungua zipiWanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa π€£
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali π€£
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
Wanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa [emoji1787]
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali [emoji1787]
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
Umetisha mbaya mkuuWanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa π€£
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali π€£
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
Such ngosha1. Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2. Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3. Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5. Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7. Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8. Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Nimepunguza sauti kwa sababu nimewagusa wanaume wenzangu Mimi kazi yng Ni kuandika tu unipende usinipende ukweli nimeusema povu ruksa.
NB:Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________
Punguza pia dharauWanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa [emoji1787]
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali [emoji1787]
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
Hahahaha huu ni ukweli mchunguWanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.
Tumia akili kidogo tu. Mimi nimeshabadilisha mtazamo wangu kabisa.
Mimi kuna siku nilimkuta mwanamke kichakani na mfungwa [emoji1787]
Check Nabii Tito ana wanawake wawili anawaendesha anavyotaka.
Angalia Manara kaoa pisi kali.
Check mtu boya boya kama MC Pilipili, ana pisi kali [emoji1787]
Wewe unaweza kukuta umemaliza UDSM, una vijisenti lakini demu hakutaki amemkomalia bodaboda, akishazalishwa ndio anajileta kwako.
Tumia akili kidogo tu.
We faller umeandika point sanaa[emoji2936]Wanawake ukitumia akili sana watakusumbua mnooo.