HahahaaaEbana ndiyooooo. Mkuu, hapo vipi?
-Kaveli-
Hata mimi napenda kweli kuolewa hata wanawake 10 maana kuna week inatokea sijisikii kabisa kujigjig
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazy brain
Kupapasa
Not knowledgeable
Aisee unafikiri Bible imeandikwa kama lyric ya mziki wa darasa.... Rudia huohuo mstari wa wanawake saba soma vizuri utajua nn kimemaanishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
nimewai fundishwa maana ya hili andiko kwa kumbukumbu ni kwamba wanawake wanaozungumziwa apo si wanawake wa jinsia ya kike bari ni makanisa .Nipe maana mkuu. Spread knowledge.
-Kaveli-
nimewai fundishwa maana ya hili andiko kwa kumbukumbu ni kwamba wanawake wanaozungumziwa apo si wanawake wa jinsia ya kike bari ni makanisa .
kwenye biblia mwanamke ametafsiliwa kama kanisa sasa basi tuludi kwenye mada .
Kuna nakanisa mengi yaabuduyo kwa jina la mungu ilihali hayatendi matendo yampasayo mungu.
ndio maana anasena watatokea wanawake Saba(makanisa) yakisema chakula na mavazi tujiudumie sisi ila tuitwe tu kwa jina lako .
nikwamba watumie jina la mwenyez mungu kuendesha ibada zao ili hali watajitafutie wenyewe mafundisho yao maana yake (chakula)
Sio mjuzi wa biblia ila nakumbuaka some hili nilifundishwa San kuhusu mfananisho wa mwanamke na Kanisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazy brain
Kupapasa
Not knowledgeable
Aisee unafikiri Bible imeandikwa kama lyric ya mziki wa darasa.... Rudia huohuo mstari wa wanawake saba soma vizuri utajua nn kimemaanishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendokasi unaua!Hivi Karibuni (nearly two weeks back) nimeanza kuwa 'nasoma soma' Biblia kimtindo ili tu kujifunza maandiko yanaagiza/yanasema nini. Ofkoz I am not knowledgeable na mambo za Maandiko, just to say 'napapasa' tu.
Leo nikawa nimechill geto. Wakati nafungua Biblia (Agano la Kale), mara paap nikakutana na ISAYA, SURA ya NNE ikinena yafuatayo... nanukuu:
''1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, utuondolee aibu yetu. ''
Baada ya kusoma maandiko hayo, my lazy brain ikapata tafsiri zifuatazo kimwendo-kasi:
1. Mwanaume kuoa wanawake wengi (hata mpaka wake saba) siyo jambo jipya chini ya jua. Biblia ishalinena na kulipa baraka zote. Tufanye utekelezaji;
2. Mwanamke hata kama ana uwezo binasfi wa kujilisha na kujivesha, asipoolewa ni AIBU kubwa kwake katika jamii;
3. Wanaume tuoe wake wengi kadri ya uwezo ili kuwaondolea AIBU hawa wenzetu. Tutabarikiwa.
===> Much respect kwa Serikali ya Kenya kwa kupitisha Sheria (mwaka 2014) ya kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi kadri ya uwezo. Naishauri na Serikali yetu makini ya Tanzania ilitazame hili kwa jicho la mwewe, azawaizi wanawake wengi watapata tabu sana!
===> Salute kwako dada Rebeca 83 kwa siredi yako pendwa: Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja - JamiiForums . You touched the base.
Mara baada ya andiko hilo takatifu, sasa nafikiria kuanza kuongeza fiancee wa pili, na wa tatu ikibidi. Nitaoa mmoja baada ya mwingine respectively. My sincere anticipation Patience123 wangu you won't hesitate to give me a lovely permission in that regard as you're always patient and cool.
N.B: Wakati nasoma Biblia nilikuwa na akili za usiku. As such, endapo nimefanya tafsiri chongo, basi mniweke sawa.
God Bless the Women.
Asalaam Alleykum.
-Kaveli-
Shida ni kwamba unatafsiri maandiko ya Bible Kama unasoma gazeti la sani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la watu wanao jifanya kujua Sana Kiswahili cha biblia. Eti katika biblia neno mwanamke kina maana ya kanisa, acheni upumbavu huo. Lini katika kamusi gani kanisa na mwanamke likiwa neno moja? Alipo sema mwanamke atazaa kwa uchungu mbona hamsemi ni kanisa? Biblia inaukosefu wa maneno mpaka mwanamke iwe kanisa? Hili liko wazi kuwa tunatakiwa kujibebea mizigo Saba na zaidi kama Solomon. Acheni uongo, ndio maana mikanisa siku hizi kama vijiwe vya machinga kila kina vya uchwara tu.
Shida ni kwamba unatafsiri maandiko ya Bible Kama unasoma gazeti la sani
Sent using Jamii Forums mobile app