Mkuu kama huwez si ukae pembeni kwa nini unateseka! Kuna wenzio wanaona raha kuhudumia na kuhongaKwa mahusiano yasiyo rasmi(Bf &Gf) wanaume tunachangia sana in unfair way, Imagine lengo lengo ni kumaintain relationship yenu ikue na mpeane raha,pesa ya kununua nguo/simu unampa wewe,vocha unamnunulia hata kama ana hela ya kununua,nauli ya kukufuata unamtumia,unamlisha na maji makubwa anakunywa halafu kazi yake ni kujitegesha mguu mmoja huku mwingine kule na kutulia kama gogo hapo ukimaliza unampa na hela,can't they provide more?[emoji848]
kukunjwa muhimu mkuu Kwa rahaa zenu lolJamani mnavyotukunja hivyoo watoto wa wenzenu