Wanaume tumekwisha


eebwanae! tule tumbwa tudogo tunapendwa sana na akinamama wakizungu kumbe huwa wakikaa tunawapa raha kwakulambalamba papuchi zao ndo maana wavithamini sana.
 
Hilo halina tatizo, inategemeana na utamaduni na mila husika, kama mchumba wako ni M-Sweden ni kweli huo ni utamaduni wao, tena hata ofisi na vyeo vikubwa vimeshikwa na wamama na sheria zao Jinsia zinawalinda, lakini kama ni M-bongo kaenda shule, akirudi mwambie huo utamaduni ubaki huko huko, Bongo Mume na mtoto wakilia anatulizwa mume kwanza, maana mume akitulia hata huyo mama na mtoto watatunzwa vizuri. Mume asipotulizwa mchepuka ukimdaka, mama na mtoto watasaga meno.
 
Kabla hujawa baba ,ulikuwa mtoto then ulithaminika now umekuwa baba mwenye kutoa uthaman kwa hivyo vyote usifadhaike sana au kama VP red utoton au use mwanamke
At least umemtia moyo nadhani hata kula amekula sasa
 
Sasa mkuu unataka sisi tukusaidie namna gani? Umeiona Jf ndo mahakama ya kuleta mashitaka ya kutukanwa na mkeo/mchumba wako? Pole sana ila kweli inauma, kutukanwa namna hiyo siyo njema kweli, yaani unazidiwa na mbwa? Kwa maana nyingine mchumba wako anapata mkong'oto wa haja kutoka kwa mbwa, kuliko ule wa kwako!! SHIKAMOO MBWA!!
 
eeeh, kweli unabahati sana !! kuwa na familia kubwa (mke,mtoto, mbwa na vinginevo)
 
Sio kama katukanwa na mkewe ila ndio uhalisia ulivyo huko ughaibuni
 
Usilie mtoto wa Kiume, na wewe mjibu " Huku Tanganyika wa Kwanza ni Baba, wa pili ni mtoto na watatu ni Ng`ombe" Ngoma itakuwa sare tasa yaani bila kufungana.
 

Nikuulize swali,
Huyo mbwa wake ni jike au dume?
 

Hapana, wanaume wote hatujakwisha, labda wewe tu maana aliyeambiwa ni wewe peke yako na si wanaume wote duniani.
 
Muulize mkeo amefuga Mbwa wangapi!!??, kama anafuga Mbwa ujue baadhi ya majukumu yako yanafanywa na huyo/hao Mbwa, kwa hiyo huthaminiwi tena
 
Ukitoka humu kamuulize tena baada ya mbwa nini kinafuata kwa kuthaminiwa, hautakuwemo hapo pia... Itakuwa ni choo. huna lako kwa wasweden, tafuta mke mwingine.
 
si bora angekuwa anafanya mapenzi na mbwa!..keshamchoka huyo hamtaki, mwanamke hawezi kukwambia hivyo hata siku moja!

Kabsaaaaaaaaa, mfafanulie tu mkuu kwamba bora mbwa kuliko yeye, nimuulize swali je anawajibika kama baba? maana utajisifia mke yupo sweden kumbe hujui anakula nini anaishi vp na hilo ndio jibu lako toka kwa mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…