Wanaume tuliooa, nini tufanye maana hii kasi ya usaliti inatia shaka?

Ukweli ni kwamba Nature ya mwanaume ni ubinafsi kwa kitu chake kisitumike na mtu mwingine. Wanawake wangelijua hili pengine ndoa zingeendelea kuwa salama. Ila kwa upande wa wanawake wa kizazi hiki Nature yao inaendana na mfumo wa 'Mbwa' (Mbwa jike akiwa kwenye siku za kutumika, mijibwa ya mtaa mzima inakuja kuonja hadi inapigana kama sisi wanaume tunavyochukia mtu mwingine asije kuonja kwa wake zetu)

Wanaume wengi tumeishia kuwa na majuto na tumeishia kuwa disappointed. Kwa sababu kile tulichokitarajia toka kwa wake zetu sicho tunachokipata

Sio kila mwanaume anayetembea nje ya nyumba yake anapenda,
Sio kila mwanaume anayechelewa kurudi nyumbani anapenda,
Sio kila mwanaume aliyegeuka mlevi na tabia zisizofaa anapenda,

NA KWA SABABU WENGI HATUJUI KUTAFUTA NJIA SAHIHI ZA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZA NDANI YA NYUMBA ZETU, TUNASUKUMWA KUWAACHA WAKE ZETU NA KUCHUMBIA WENGINE. KUMBE HATA HAWA WAPYA NAO STAILI YAO YA MAISHA NI HII HII YA KUCHEPUKA HADI ATAPOFIKIA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 45 NDIO ATATULIA MWENYEWE NA SIO KWA KUCHUNGWA.
Facts kanunue nguo GSM naja lipa
 
Ndugu Zangu Tuoe Maisha Hayana Tatizo Mengine Yapo Yatapita Kama Upepo Tu
 
Msururu wa Wanaume wenzetu waliokwisha gongewa si haba. Kibaya zaidi kugongewa ilikuwa Siri ya ndani ila siku hizi hii mitandao inatuexpose saana.

Nini tufanye? Hakuna Mwanaume atakeyesimama hapa na kujitapa mke wake hamsaliti. Moyo wa mkeo ni kichaka.

Na wanaochapiwa wengi tunaona wanavyowapenda wake zao. Je , wanawake tupunguze upendo? shida Nini maana hapa shida sio pesa.

Au hatuwafikishi kunako? Si yanajadilika haya. Siuniambia hata nipake Mkongo.

Mwezio akinyolewa zako tia maji. Sijui kipi kifanyike maana hii kasi ni ya ajabu saana.
Mwanamke hujamkuta bikra. Watu 20 + washaipiga unawaza um control asipigwe nje? Tunajifariji tu, ila sio rahisi.
Kuna mmoja hapa anansumbua kila siku mambo ya ndoa. Siku nmeshika simu yake naona kama siku mbili nyuma alikua anapanga appointment na mwamba akitoka kazini akipeleke jamaa akitafune. Halafu jamaa anauliza mtu wako utamwambiaje anajibu ntamwambia tumepata emergency kazini ntachelewa kutoka. Amehide chats na jamaa hajui kuwa kuna njia za ku unhide bila yeye kujua.
Nmejifanya sijaona na life linasonga, siku anaachwa hata amini.
 
Kuna Manzi flan hiv kaolewa Mwaka jana, na tayri kashazaa.. Juzi kati hapo nimetest kumuomba Mzigo wala hajafikiria mara mbili..

Mke wangu mtarajiwa nitamuweka wazi kuwa atombwe nje weee ila nisimkamate. Maana nitampeleka Mbinguni na Maiti yake haitokaa ionekane Milele.
 
Shida ni kwamba mwanamke akishakujua vizuri, yaani kukawa hakuna tena kitu kinachomfanya aumize akili kukufikiria basi anaaza kupunguza interest na wewe, tena wengi huwa tunajichanganya kuwaondolea wasiwasi kwa kuwahakikishia kwa kila namna kwamba "wao ni wao na eti hatuna ujanja mbele yao" , kwishaaaa.

Being mysterious drags women's attention and hence attraction, sasa hii hali ni ngumu sana kwa wanandoa kuitekeleza kutokana na ukaribu wao wa kila siku unless akili nyingi zitumike.

Ndiomaana yale mapenzi ya mbalimbali (kabla ya ndoa) huwa yanakuwa ya moto sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole mkuuu

Umehit on point being mysterious kwa mwanaume ni the best trait ever kongole kwako
 
Kuna Manzi flan hiv kaolewa Mwaka jana, na tayri kashazaa.. Juzi kati hapo nimetest kumuomba Mzigo wala hajafikiria mara mbili..

Mke wangu mtarajiwa nitamuweka wazi kuwa atombwe nje weee ila nisimkamate. Maana nitampeleka Mbinguni na Maiti yake haitokaa ionekane Milele.
Haha kataa ndoa gang inaendelea kukua sana

 
Back
Top Bottom