Wanaume tujisahihishe. Ukipanda magimbi, usitarajie kuvuna Tanzanite!

AROOO WE JAMAA KAMA UPO KARIBU NA MAGOGONI PITIA MENU YA JIONI HAPO, MWAMBIE MPISHI WA IKULU PIA, AKUHESABIE MENU KILA SKU

KWA SABABU UMESELELEKA VITU VYA KWELI (IN GENTAMYCINE VOICE)

UKITOKA HAPO, NENDA TBL AGZA BALIMI KRETI 3


Hahahaaa Mkuu nime-smile big hii comment yako.

Shukrani boss. cheers

-Kaveli-
 


Ooh yeah... I sense the sound. I feel the message.

Reggae music is for community potentials.

-Kaveli-
 
Kaka Kaveli( nimekuita kaka kwa Heshima), unadhani basi nina neno juu ya mtazamo wako, mkuu umeshauaaaaa! Mimi najaribu tu kuendeleza thread lkn kila kitu nakupata vizuri sana.


Wanadamu tuna mapungufu mengi. So platforms kama hizi (jf) sometimes tunazitumia kukumbushana mambo ya msingi ili kujenga jamii bora na salama.
I highly honour your school of thoughts kwenye mada hii. Umeeleza watertight issues without sense of biasness.
Salute bro.

-Kaveli-
 
Mkuu umenena..huu uzi ntausave niwe najikumbusha nisisahau majukumu yangu kama mwanaume.

Kila siku huwa tunabishana na watu kuhusu tofauti ya father na sperm donor... hawa baba zake na diamond na omy ni sperm donor tu
 


Kaka Pythagoras, thanks a bunch. I am really humbled!

Masikini si yule asiye na pesa. Ni yule asiye na marafiki. I like making friends. Jf pia imenipa marafiki wengi. Tutafutane tu bro na kubadilishana mawazo.

Dunia sahani, tupakue tunavyoweza.

Much respect bro.

-Kaveli-
 
Mkuu umenena..huu uzi ntausave niwe najikumbusha nisisahau majukumu yangu kama mwanaume.

Kila siku huwa tunabishana na watu kuhusu tofauti ya father na sperm donor... hawa baba zake na diamond na omy ni sperm donor tu


Na huo ndiyo ukweli ambao unachoma... kwamba kuna father, na kuna sperm donor! Halafu sasa hao sperm donors baadaye finali uzeeni ndo huwa wako frontline kulaumu na kuongea sana kuwa "mtoto kanitelekeza nashindia mihogo"! Teh teh teh

Mkuu umehitimisha vyema sana bila kupepesa macho.

-Kaveli-
 
Asante sana, ntakutafuta, usichoke kutuletea madini memgine mengi kama haya.
 
Hahaaa Mungu aniepusha hilo balaa la sperm donor
 
Leo nimeona kwenye taarifa ya habari ITV, ule umati mkubwa wa akina mama pale ofisi ya mkuu wa mkoa Dar. Nikaukumbuka huu uzi.
Cc: carcinoma , Pythagoras .
-Kaveli-
 
Mkuu [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG] umeandika kama unaongea na watu wote wasomi sana.Umechanganya lugha mnoooo!Mimi darasa la tatu Chee kwa mwalimu Kinyanyi umeniacha njiapanda.
 
Pole, amini Mungu atakubeba na mwanao.
 
Kuna sehemu sijaelewa Kaveli huyu Pac anasema baba yake alivyokufa hakulia kwenye Dear Mama lakin alivyokufa Pac inaonekana baba yake alitaka urithi sijaelewa kwa kweli
 
Mzazi aliyekukaataa, kukutelekeza unamsamehe vip, je ungekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…