Wanaume tuheshimiane

Kanzu lazima upigwe! Hata huyo demu wako anajua ushawahi kupigwa kanzu na tobo!
 
Hapo lazima kaona huna fweza.....

Na kwa uzoefu wangu, maskini hawezi kuwa na mwanamke mrembo halafu akabaki salama!!
 

We ndo boya kweli.. umekataa ofa.. we ungekubali jamaa alipe bili.. unampatia namba ya gar kisha unasepa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…