mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Za jioni wakuu,
Mda huu baada ya kutoka viwanjani kwenye Tsunami ya lowassa nilikua na mpenzi wangu mkali kweli sio utani ni mrembo balaa ana umbo zuri mno.
Sasa tukapitia sehemu Fulani tupooze makoo yetu baada ya kumshangilia sana Lowasa wakuu tumeingia tuu macho yote ni kwetu si mnajua mimi ni mtoto mdogo na yeye kanizidi (nilishawaelezea kwenye thread ya zamani).
Tumepata vinywaji tumemaliza akaja waiter mmoja wa kike akamwambia kuna mwanaume kasema atalipia bili yetu tuendelee kunywa tu ila anaomba no za mpenz wangu.
Wakuu my love akaninong'oneza. Nilipandwa na hasira yani ilikua ninyanyuke ni mfate lakini nikatumia busara za Lowasa.
Nililipa bili tukasepa zetu Mbezi huku na hasira balaa. Yaani nipi nae nna hasira acha.
Onyo kwa wenye tabia kama hizo tuache ni kudharauliana au?
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=860785