Wanaume tubadilike

Nnamashaka na uwezo wako wa kufikiri
 

Hapo bangi imehalalishwa Uruguay na Colorado madhara tunayapata watanzania,sijui ikihalalishwa Bongo itakuaje Mungu wangu.
 
Chezea kum.... Wewe hakuna mjanja hapo sema kujipa moyo tu
 
miss chagga, yawezekana kweli wahitaji pesa eeeh?? manake naona kila ukiwa na keyboard/touch screen wewe ni PESA TU!!..

Hebu jaribu kuangalia kitega uchumi kingine manake nahisi vijana wengi saivi wamedoda, utaishia kubanduliwa kwa ahadi, lols.

Ha ha ha uwezi nila kwa ahadi account isome kwanza ndo nikupe mzigo loh
 
Last edited by a moderator:
Hivii hujui kuwa kuna wanaume wengine wasipoombwa hela hawajisikii vzurii...huwa wanaumwaa...ebu waache wenzio wenye mioyo ya utoajiii we bahil pita hiviiii----
 
ukivuta Bangi huku una njaa madhara yake ndio hayo hapo nadhani...
 
Teh teh teh, ulelaaah!, Wanawake kwenu ni Mtakuja street, tena Mtajileta wenyewe!, eeeh, natamani kuona hiyo ndoa ya Binadamu na sabuni/mafuta, lol, Baba binadamu, Mama Sabuni/mafuta, eeeh
 

si WATAFUGA MBWA
 
Uwage unafikiria kama ujaongea maana ni ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…