Wanaume tubadilike

There must be a problem
 
hujui mapenzi kweli wewe

sio kwamba sijui nmeona nafanya kaz bila faida kujua. Utamu ninao mwenyew, wakat huo mm nakusaidia na ww kukupa raha halaf tena niingie gharama za kukugaramia aghrr hyo biashara mm nmeiacha staki tena
 
ninamafuta ya kulainisha mkono
 
Mkuu Unauliza jibu tena?

Maana ulitoa na amri kabisa mmoja awe mama mwenye nyumba na mwingine mchepuko

nmeona wanapenda sana hela nisije kufirisika buree
 
Mmmnh.... Mwanaume aliyekamilika hawezi kuongea upuuzi kama huu..!!
 
pesa pesa zimeniita nakuja:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
miss chagga, yawezekana kweli wahitaji pesa eeeh?? manake naona kila ukiwa na keyboard/touch screen wewe ni PESA TU!!..

Hebu jaribu kuangalia kitega uchumi kingine manake nahisi vijana wengi saivi wamedoda, utaishia kubanduliwa kwa ahadi, lols.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…