Wanaume Tubadilike

"Mama Suuuuu hodi nifunguliee mlango hiii hiii"
Aloo huko mjini Kuna mambo mengi sana
Mkuu 😊 jamaa may be atakua anapewa ma style ya vijana kama popo kanyea mbingu au teke la nyau au mama Samia kauza bandari..
Niliwasikia vijana wana ambiana nika staajabu zitakua style Gani izo?!
 
Bro dunia imekwenda siku hizi kala kitu ni umayai tu.
Mwanaume anamvisha pete mchumba wake analiga magoti na anashika uso. Mambo mengne ya hovyo
 
Aliyekwambia ukilia ndio unatoa stress nani?
Kuondoa stress ni ww mwenyew kukubaliana jambo linalo kusumbua. Hata kama ni tatzo zito kubali kuwa hyo ni sehemu ya maisha yako ambayo Mungu alipanga kuwa utayapitia sasa ni ww kulitatua.

Kwani wanawake wangapi wakipgwa chini wanalia na bado wanazidi kupauka kwa stress?
 
Kwahiyo ww hulali unawasikiliza baba suu na mama suu.?? 😂😂😂
Ndiomana Tanesco wanatukatia umeme wanavyotaka wao na hatuna cha kuwafanya
Hata ingekuwa wewe usingelala 😂 Mwanaume gani anasema KUMBE NI TAMU Yani Kama kapewa Leo wakati katika Ndoa wapo miaka kadhaa…
 
Mkuu 😊 jamaa may be atakua anapewa ma style ya vijana kama popo kanyea mbingu au teke la nyau au mama Samia kauza bandari..
Niliwasikia vijana wana ambiana nika staajabu zitakua style Gani izo?!
Sasa Mama samia kafanyaje mkuu 😂😂
 
Kulia ni sehemu ya maisha mi mtu akilia ni nafuu kuliko kufa na presha
 
Bro dunia imekwenda siku hizi kala kitu ni umayai tu.
Mwanaume anamvisha pete mchumba wake analiga magoti na anashika uso. Mambo mengne ya hovyo
.
Mkuu unemaliza...Wanawake ndio wana shida ya kuolewa so wao ndo wapige magoti wamebahatika kupata bwana.
.
Huwa nashangaa sana nikiona mwanaume anapiga magoti kumvalisha pete mwanamke. Seriously??!
.
Tunawapa wanawake too much attention ndio maana wanatupanda vichwani. Hata humu jukwaani, nyuzi za wanaume kuwasifia wanawake ni nyingi mnoo kuliko za wanawake kusifia wanaume.
 
Ndugu stress haiondoki mpaka umeutoa uchungu moyoni hivyo mimi daima nalia kutoa uchungu na badae nalikubali lililonikuta ili nipate stress free .

Ila kulia raha bwana yaani kile kilio cha sauti alafu uko pekee yako chumbani unalia kwa sauti na mwisho unaanza kuisikia sauti yako inavyojirudia ni hapo naishiaga kucheka


Natoka zangu nje macho mekundu nikiulizwa ni mwendo wa kichwa kinanigonga sana


Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…