Mabwaku...........
Hehehehe....nimecheka sana. Hiyo lugha.
Mabwaku...........
Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii
umeona eeeh! hizi zama za ukweli na uwazi tena bila kuchelewesha. ukipigwa cha mbavu unakaa kando kuugulia maumivu.
Tatizo siku hizi umekuwa mkorofi sana
Hata ile makitu hunipi.....lol!
Tatizo Shenazi alikuwa anaDIPU tu
Hakuwa siriazi yule!!
sasa nshakutongoza nimekupata hayo makitu nikupe ya nini!
aahahahhahhha umemegwa umeachwa TULIA!
sa hiz nataja kumuaproach nani OTEA!
A woman MUST FIRST emit a ray of correct wavelength SO AS to provoke a man to action; imekaa hivyo tangu zama za Adamu na Hawa. Baada ya Mungu kumuumba Hawa alimleta kwanza mbele za Adam aone kama Adamu atapokea ujumbe wowote toka kwenye hicho kifaa. Palepale Adamu akatangaza ridhaa yake kwa kushuhudia kwamba hicho kifaa ndio chenyewe kabisa haendi kushoto wala kulia. Muhimu ni kwamba matamko ya Adamu yalikuwa yanazingatia kile alichokuwa anakiona tayari kimetengenezeka ndani ya mwanamke na kwamba hata jina alikuwa bado kupatiwa. Kuna tafri nzito katika hili ila kwa haya machacge huenda mwanga ukapatikana.Mamboz jf pipo