Zamani ukisikia wanaume wanaitwa hivi, unajua kimenuka kuna mmoja kaharibu so wanataka wawekane sawa. Wanawake tunasogea pembeni mafahali tunawaacha wenyewe.
Siku hizi bwana, cheo kimepoteza hadhi yake. Vivulana vinakusanyana kuambukizana maujinga tu kama haya Mara umebikiri wangapi, umetembea na wangapi etc etc. Statistics kibao za nyuma ya keyboard. Ambazo haziwajengi kuwa better men that society is in such dire need of.