Wanaume Tuambiane Ukweli!

Wacha ujinga muulize baba yako kama amesha andaa ada yako maana chuo bado wiki mbili
 
Sasa kwa umri wako utawaza nn zaidi ya papachu? Unalala bure na kula bure.
 
Zamani ukisikia wanaume wanaitwa hivi, unajua kimenuka kuna mmoja kaharibu so wanataka wawekane sawa. Wanawake tunasogea pembeni mafahali tunawaacha wenyewe.

Siku hizi bwana, cheo kimepoteza hadhi yake. Vivulana vinakusanyana kuambukizana maujinga tu kama haya Mara umebikiri wangapi, umetembea na wangapi etc etc. Statistics kibao za nyuma ya keyboard. Ambazo haziwajengi kuwa better men that society is in such dire need of.
 
Nnachokumbuka tu ni kwamba toka nianze aka kamchezo haipitagi wiki sijafumania nyavu haijarishi nko mazingira gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…