Wanaume Tuambiane Ukweli!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Najua Katika Mambo yetu Yale ya 6 kwa 6 tulishawahi ku kwichikwichi na ma bidada kibao.
Au wengine hawajawahi kabisa....wengine labda mmoja tu...wengne wawili na zaidi.

Kwa Mf Mimi na umri wangu wa 22yrs Tokea Nibalehe mpaka sasa Tayari wapo Kama 5 niliowagegeda.
Japo 2018 Nimeamua Kutulia na Mmoja!

Je wewe tayari umeshavuruga wangapi na unaendelea au unaamua ku pause kama mimi!

MUWE NA SIKUKUU NJEMA

Warning: Every Time You Have Sex Use Condom
UKIMWI UNAUA
 
22 years,akaunti Ina miezi 10 JF, Ujinga ndo kama huu!Ila sio kosa lko,najua kuna watu wamepost the likes of this ndio wamekuInspire kuja kuandika pumba izi,Merry Christmas!!
 
sikumbuki idadi ila nimewatafuna saaana kuanzia hata sijabalehe
 
Sio kitu kizuri....

Jitahidi utulie na huyo mmoja
 
22 years,akaunti Ina miezi 10 JF, Ujinga ndo kama huu!Ila sio kosa lko,najua kuna watu wamepost the likes of this ndio wamekuInspire kuja kuandika pumba izi,Merry Christmas!!
Mzee pumba ni ipi hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…