Yaani inashangaza, kuhuzunisha, kustaajabisha na kuchekesha.
Ukiingia kwenye jukwaa hili kila siku wanaume wanalalamika juu ya wanawake wao, je ni sisi tu tunaotendwa?
Au hizi habari si za kweli ila zinaletwa kuchangamsha jamvi?
Au wanawake wana vifua vyenye uwezo wa kuhimili machungu na kutunza siri zaidi ya sisi wanaume?