Katika kila wanawake 10 wanaume ni 5. Sababu ni kwamba, kwanza hawa viumbe wanazaliwa wengi, pili wanaume wengine ni mashoga, wengine mapadri, na wengine kwa sababu zao binafsi wameamua kuwa waseja. Inabidi sasa kila mwanaume rijali achukue madem wawili. Ok?