Mnatuumiza lakinisometimes wanaume hatupendi tabia za kugandana gandana kupita kiasi...
Kuna wakati huwa najiuliza mbona JF siku hizi kuna mada za kitoto namna hii ,,? Naamua kuacha tu siku ipiteHabarini wana mmu, Mimi Ni mwanamke ambaye nimeolewa na Nina Mtoto mmoja mchanga miezi 3,tatizo nililonalo Ni kwamba mume Wangu huwa hapend kukaa nyumbani yeye akirud kutoka Kazini Ni kupumzika kidogo then anatoka Hadi usiku Sana Hana muda Hata wa kunisaidia kukaa na Mtoto angalau nami nipumzike kidogo maana anajuwa jinsi Mtoto anavyosumbua na tunakaa wenyewe tu Mimi na yey mume Wangu,daima yeye anajali company za marafiki tu. je apo tabia hii inaashiria nini?mapenzi yapo kweli au ndio Sina changu tena?
Duu Kumbe mpo wengi nilijua Ni Wangu tu Asante kwa kunijuzaWanawake wanaupekee fulani katika kulea watoo hasa wachanga namna ya kubembeleza, kujua anasumbuliwa au ana njaa kwaiyo mda mwingi mtoto na mama wote wanakuwa confortable wakiwa pamoja sasa wewe sijui mwanamke wa aina gani unataka baba abebe mtoto au unataka kuchati insta,FB, whatsap mi mwenyewe nina mtoto waivyo sishindi nyumbani kabisaaa na sitaki kabisa kusikia mtoto analia
Ndio na si kwamba hakuna mapenzi no ngoja mtoto atimize mwaka utaona atakavyo participate fully saivi hata kitandani mtoto akilia atakupa mgongo tu, shuka mpaka kichwani alafu goodnytDuu Kumbe mpo wengi nilijua Ni Wangu tu Asante kwa kunijuza
Duhwanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende
Baada ya Mtoto kuja imezid maradufuTabia imeanza baada ya kujifungua au toka zamani?
Mmh napata picha kidogoKid
Boy
Man
Father
Grand father
Chek mumeo yuko stage ipi