ni kweli kuna wanawake wanakera, hivi kwanini wanawake wajirekebishe na kuishi maisha ya kujitegemea, alafu sababu ya kwenda na rafiki kwenye appointment kunaonesha kutokukomaa na kujiamini, kwa nini usipange sehemu ambayo unahisi utakuwa comfo ili kuepusha rundo la watu nyuma yako, and by the way mambo unayoenda kujadili huko sio matangazo ya vifo ambayo kila mtu anatakiwa kujua. jifunzeni kujitegemea na muache kubandika wanaume majina ya ajabu.