Wanaume single ni wambea sana na wachonganishi

Wanaume single ni wambea sana na wachonganishi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa wanaume ambao hawana mademu huwa ni wambea kupita kiasi na wachonganishi.

Wanaume hao, wakiona mwanaume mwenzake kafanya kitu wanaenda kumwambia demu wa jamaa. Kwa mfano, we una kunywa pombe na dem wako hajui basi mwanaume huyo single na ni rafiki yako ataenda kumwambia demu wako... "hivi unajua MCHUNGUZI HURU anakunywa pombe".... "hivi unajua fulani ana dem mwingine yupo Moshi"... nk

Mwanaume single huchukua story zenu mlizokuwa mkipiga kama wanaume na kupeleka kwa demu wako.

Na wakati mwingine huchukua story kwa demu wako na kukuletea wewe. "demu wako jana nimemuona Best Bite na fulani sijui alikuwa anafanya nini".... nk.... yani ilimradi fujo tu.

WANAUME SINGLE ACHENI UMBEA

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na wewe one 9t nilienda club na ex wangu, kufika kule kuna jamaa ni mtu mwenye familia kutuona ikawa tabu
 
Huu uchunguzi haujafanyiwa feasibility study aka upembuzi yakinifu
 
Huu ni upuuzi mtupu na ujinga,fanya uchunguzi wa kina kijana-acha danganya toto na porojo nyingi
 
Umbea ni umbea tu na kwa wengne ni vipaji wamezaliwa navyo, wapo waliooa na ni wambea pia na tupo single na bado si wambea.
 
Hahaa! Nimesoma tu kichwa cha habari..nahisi mada yako leo nitaipenda
 
smart-ass.gif
 
Yaani hao mimi ndo nawataka tu waniletee umbea alafu niwaonyeshe kuwa mwanaume kua mbea sio fani yake!!
 
Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa wanaume ambao hawana mademu huwa ni wambea kupita kiasi na wachonganishi.

Wanaume hao, wakiona mwanaume mwenzake kafanya kitu wanaenda kumwambia demu wa jamaa. Kwa mfano, we una kunywa pombe na dem wako hajui basi mwanaume huyo single na ni rafiki yako ataenda kumwambia demu wako... "hivi unajua MCHUNGUZI HURU anakunywa pombe".... "hivi unajua fulani ana dem mwingine yupo Moshi"... nk

Mwanaume single huchukua story zenu mlizokuwa mkipiga kama wanaume na kupeleka kwa demu wako.

Na wakati mwingine huchukua story kwa demu wako na kukuletea wewe. "demu wako jana nimemuona Best Bite na fulani sijui alikuwa anafanya nini".... nk.... yani ilimradi fujo tu.

WANAUME SINGLE ACHENI UMBEA

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Wanaume wa tabia hzo dawa yao wafanyiwe kitchen party ndio watabadilika !!! Unakuta jibaba zima ni kupiga umbea tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom