Wanaume siku hizi ni ombaomba vs Wanawake

Wanaume siku hizi ni ombaomba vs Wanawake

Siande

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
194
Reaction score
58
Habari zenu wana jukwaa.

Nimekuwa msomaji wa jukwaa kwa muda mrefu sasa na kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuwa wanawake wamekuwa ombaomba sana.

Lakini napenda kusema kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao nao ni ombaomba sana. Mimi yalinikuta humuhumu jf. Kuna mkaka nilikuwa nadate nae hata hatujaonana eti kajifanya mshahara umechelewa kutoka kila saa ananiambia naangalia net hapa naona mshahara haujatoka mimi nkapiga kimya.

Alipochoka akafunguka eti nitumie hela kwa Mpesa then nitakurefund mshahara ukitoka,nikamjibu tu kwa upole kuwa siwezi kukupa maana mi sikufahamu.

Case chache kama hizi zinathibitisha kuwa wanaume wengine anao ni ombaomba. Pia nilishakuwaga na Bf ambaye nae alikuwa ombaomba balaa anaomba hela ya vocha, michango ya harusi anakuomba, na hata hela kwa matumizi mengine tena wanatumia vigezo vya kukurudishia ukiacha ke ambaye huomba tuu.

Nilikuwa natoa mifano inayothibitisha kuwa hata wanaume wengine nao ni ombaomba kama walivyo baadhi ya wanawake.

Mimi binafsi sipendi kuomba otherwise anipe mwenyewe na nikifika hatua ya kuomba ujue nina shida ukweli.

Ushauri wangu kwa wapenzi kuna kupeana zawadi au mpenzi wako amefeel tu kukupa fedha. Ingekuwa vema kama kila mtu angesolve matatizo yake mwenyewe wakati mkiwa wapenzi na hiyo kusaidiana ikaanza wakati wa uchumba na kuendelea.

Pia inabidi uangalie huyo mpenzi wako kama ana uwezo wa kukusaidia na kusaidiana kusiwe one side only.

Sina zaidi wenye uthibitisho kuwa me nao wanaomba alete hapa waache kutukandamiza.
 
Dah! hili nalo sjui dongo au ukweli, ahya bibie tumeskia hata huyuo uliokua una date nae jf msg sent, wait to deliver..
 
Kweli tupu wanaume wa zama hizo wanapenda sana kulelewa
 
Were are u datin or pieming each other?

No wonder alikuwa anakuvutia kasi ujisogeze akupige chapuo like unamkopa sh laki anarudisha vizuri wee unajenga trust kwake unakuwa unamkopesha siku ya kukuliza anakupiga mzinga wa maana ambao akili itakukaa sawa as hutamwona na cm anabadili.

Cyber friends are so dangerous! Never entertain them.
 
JF siku hizi kuna mambo ya ajabu sana, things are changing abruptly
 
subiri waje..............

ila wapo wengi sana, full umatonya...
 
Mmmh.... Mahusiano ya kupigana pigana mizinga mimi huwa siyaamini kabisaa..!
 
Mmmh! Ckuhizi ni mwendo wa makavu laivu! Mi sipo kwenye hii mada! WANAUME mupoo?? Lenu hilo!!! nalog off Hahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kumbe kicheche. Unadate vp na mtu hujawah hata kumuona? Kumbe humu jf watu wanaitana 'baby' huwa wanamaansha1
 
Junior Member Array


Join Date : 29th August 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received8
Likes Given0



Dada Siande naomba nikuulize tu jambo moja? Kwa takwimu zako hizi za hapa JF je huyo mtu umemjuaje?

Posts counts matters a lot kwenye matumizi ya PM hapa JF, ila kwako najaribu kuchekecha kichwa naona kama haiwezekani vile?

Niondoe kwenye huu ushamba wa mawazo yangu mpendwa....
 
Last edited by a moderator:
mmezoea kupewa siku mkiombwa viroho juu juu na thread mnaanzisha lol
Hii posti imewafanya wamenywea sana. Wanatupiga mizinga tunamezea, wao wakitoa hata pesa ya vocha tu ni vilio na kukimbila JF kuanzisha sired mia mia.
 
me cdhani km wapenzi wana haki ya kupeana hela labda niseme kusaidiana pale kwenye shida na itapendeza km busara ikatumika kwamba hiyo hela itarudishwa au imetolewa km zawadi kwa huyo mtu ili kucwe na malumbano km haya kwa cku nyingine, try to share what you have while in marriage vinginevyo ni majanga tu!!!!!!!!!!!!
 
Junior Member Array


Join Date : 29th August 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received8
Likes Given0



Dada Siande naomba nikuulize tu jambo moja? Kwa takwimu zako hizi za hapa JF je huyo mtu umemjuaje?

Posts counts matters a lot kwenye matumizi ya PM hapa JF, ila kwako najaribu kuchekecha kichwa naona kama haiwezekani vile?

Niondoe kwenye huu ushamba wa mawazo yangu mpendwa....

Tumembamba hatujambambaaa??
 
Last edited by a moderator:
Junior Member Array


Join Date : 29th August 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received8
Likes Given0



Dada Siande naomba nikuulize tu jambo moja? Kwa takwimu zako hizi za hapa JF je huyo mtu umemjuaje?

Posts counts matters a lot kwenye matumizi ya PM hapa JF, ila kwako najaribu kuchekecha kichwa naona kama haiwezekani vile?

Niondoe kwenye huu ushamba wa mawazo yangu mpendwa....

may be ndo mambo ya Multiple ID...
 
Habari zenu wana jukwaa
nimekuwa msomaji wa jukwaa kwa muda mrefu sasa na kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuwa wanawake wamekuwa ombaomba sana. lakini napenda kusema kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao nao ni ombaomba sana. mimi yalinikuta humuhumu jf. ---- mkaka nilikuwa nadate nae hata hatujaonana eti kajifanya mshahara umechelewa kutoka kila saa ananiambia naangalia net hapa naona mshahara haujatoka mimi nkapiga kimya. alipochoka akafunguka eti nitumie hela kwa Mpesa then nitakurefund mshahara ukitoka. nikamjibu tua kwa upole kuwa siwezi kukupa maana mi sikufahamu. Case chache kama hizi zinathibitisha kuwa wanaume wengine anao ni ombaomba. pia nilishakuwaga na Bf ambaye nae alikuwa ombaomba balaa anaomba hela ya vocha, michango ya harusi anakuomba, na hata hela kwa matumizi mengine tena wanatumia mvigezo vya kukurudishia ukiacha ke ambaye huomba tuu. nilikuwa natoa mifano inayothibitisha kuwa hata wanaume wengine nao ni ombaomba kama walivyo baadhi ya wanawake.

Mimi binafsi sipendi kuomba otherwise anipe mwenyewe na nikifika hatua ya kuomba ujue nina shida ukweli. ushauri wangu kwa wapenzi kuna kupeana zawadi au mpenzi wako amefeel tu kukupa fedha. ingekuwa vema klama kila mtu angesolve matatizo yake mwenyewe wakati mkiwa wapenzi na hiyo kusaidiana ikaanza wakati wa uchumba na kuendelea . pia inabidi uangalie huyo mpenzi wako kama ana uwezo wa kukusaidia na kusaidiana kusiwe one side only. sina zaidi wenye uthibitisho kuwa me nao wanaomba alete hapa waache kutukandamiza.

Kuna watu wana roho ngumu

Yaani unamuomba hela mtu hata sura yake huijui?
Hata kama unaijua mwanaume gani unakua ombaomba?

Hii ni laana!
 
Mmmh! Ckuhizi ni mwendo wa makavu laivu! Mi sipo kwenye hii mada! WANAUME mupoo?? Lenu hilo!!! nalog off Hahaha!!

Hebu niazime buku ten halafu nikipiga ile dili ynagu nitakurudishia mpendwa....!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom