Amekufanya nn mume wako?Ila wanaume punguzeni ubabe jamani,unamkosea mwenzio alafu unakua mkali sio fresh.
Wakati unaandika ulikuwa unasinzia?Amukufanya nn mime wako?
Dah, hili game linanifanya niwe bize.Wakati unaandika ulikuwa unasinzia?
Anakimbia na ahakikishe hakamatwi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Si akimkamata atammaliza!
Wife unaudhi sama. Umeshafika humu?Ila wanaume punguzeni ubabe jamani,unamkosea mwenzio alafu unakua mkali sio fresh.