ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,515
Ongeza volume hatujaskia,mambo ya sijui ndugu mara wazazi na blaa blaa kibao ndo watanipa papuchi?Msichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake...
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM [emoji388] saa
hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa[emoji8][emoji7]"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!
Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu..
Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Bugurun mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu..
"Imethibitishwa umepokea 20,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 22,000 kutoka kwa Justine Kipipa"
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 4 kesho yake
anaamka anaenda dukani anafanya shoping.
Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7 plus [emoji336] kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM??
Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wewe kenge na wajinga wanzio [emoji35][emoji35]..
Mki CLICKIWA tu mnatuma hela kibwena[emoji387][emoji386][emoji385] wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.
Wazazi [emoji1353][emoji1354]Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wewe walea michepuko mjini.
Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala yakuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.
Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya..
Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?
Halafu fikiria Familia yako(Mke[emoji1331] na Wanao[emoji1348]) hawatamani leo kubadili chakula? Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao? Kuwatoa out leo jumapili ukaja nao hapa mnadani Kibamba chama mkala nyama choma na vinywaji hujisikii, yaani umekua bonge la poyoyo
Kama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa kwatuu.
Lakini kama hao nlowataja hapo wapo kwenye Dhiki.. ndugu yangu upotezee huo mchepuko ombi lake wazia Wazazi au familia yako.
Kaa ukijua nlokutajia hapo ni machache tu kwa Mchepuko ila Baya zaidi mchepuko haunaga fadhila.
Inauma ila tuvumiliane.... dawa ikuingue
Acha huo ujinga pimbi wewe!!!
Niongeze sauti au nimesikikaView attachment 1238881
Umbea mtupuMsichana akitaka NGUO mpya wala

Wanatoa, lakini si rahisi kukusanya pesa yote kwa madanga 20 kwa wepesi kiasi hicho, unaweza ukapata madanga watano wakakutumia bila tatizo ila hao wengine watakwambia kwenye simu sina ataleta sababu mbali mbali nia yake uje uchukue, hayaKwamba wanaume hawatoi mkuu?
Duuh... hii experiensi yako inabagua wanaume wa kuifanyia?Wanatoa, lakini si rahisi kukusanya pesa yote kwa madanga 20 kwa wepesi kiasi hicho, unaweza ukapata madanga watano wakakutumia bila tatizo ila hao wengine watakwambia kwenye simu sina ataleta sababu mbali mbali nia yake uje uchukue, haya
wengine watakwambia subiri ntakutumia.
Sio ulale tu hapo kitandani usambaze huo ujumbe wako ukazani wanaume wote mandezi watatuma tu.
Asiyefanya kazi na asile[emoji3]
Mimi naamini hakuna pesa ya rahisi kama mwenye uzi anavyofikiri eti ukae hapo miguu juu usambaze ujumbe wako pesa zimiminike! Lazima ukaisumbukie.Duuh... hii experiensi yako inabagua wanaume wa kuifanyia?
message sentMsichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake...
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM [emoji388] saa
hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa[emoji8][emoji7]"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!
Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu..
Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Bugurun mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu..
"Imethibitishwa umepokea 20,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 22,000 kutoka kwa Justine Kipipa"
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 4 kesho yake
anaamka anaenda dukani anafanya shoping.
Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7 plus [emoji336] kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM??
Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wewe kenge na wajinga wanzio [emoji35][emoji35]..
Mki CLICKIWA tu mnatuma hela kibwena[emoji387][emoji386][emoji385] wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.
Wazazi [emoji1353][emoji1354]Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wewe walea michepuko mjini.
Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala yakuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.
Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya..
Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?
Halafu fikiria Familia yako(Mke[emoji1331] na Wanao[emoji1348]) hawatamani leo kubadili chakula? Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao? Kuwatoa out leo jumapili ukaja nao hapa mnadani Kibamba chama mkala nyama choma na vinywaji hujisikii, yaani umekua bonge la poyoyo
Kama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa kwatuu.
Lakini kama hao nlowataja hapo wapo kwenye Dhiki.. ndugu yangu upotezee huo mchepuko ombi lake wazia Wazazi au familia yako.
Kaa ukijua nlokutajia hapo ni machache tu kwa Mchepuko ila Baya zaidi mchepuko haunaga fadhila.
Inauma ila tuvumiliane.... dawa ikuingue
Acha huo ujinga pimbi wewe!!!
Niongeze sauti au nimesikikaView attachment 1238881
Yeye au nyie....Hata yeye kazi anayofanya si ndogo, kuhudumia madanga 20 kwa K moja si mchezo
Una ndugu aliyeajiriwa kwenye hicho kiwanda ?Mbona unaharibu kazi za watu mkuu
Anataka kimono. .ili wahuni waone ka shape kake bila Shaka demu wako n modoMalimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
Mimi naamini hakuna pesa ya rahisi kama mwenye uzi anavyofikiri eti ukae hapo miguu juu usambaze ujumbe wako pesa zimiminike! Lazima ukaisumbukie.
Angalizo: mimi si mdangaji
Umeona mimi nina madanga 20?Yeye au nyie....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] achaga ubahiliOngeza volume hatujaskia,mambo ya sijui ndugu mara wazazi na blaa blaa kibao ndo watanipa papuchi?
By the mimi mimi sijawahi kuwa driven na hizo hadithi so ukianza kwa hivyo vibwagizo ndo utegemee vitanishawishi nitoe pesa unakuwa umefeli nasoma bila kujibu siku ukiniuliza nasema sikuiona
Mwisho hiyo k si itakuwa sinia yaani madanga yote hayo?
Wanatoa, lakini si rahisi kukusanya pesa yote kwa madanga 20 kwa wepesi kiasi hicho, unaweza ukapata madanga watano wakakutumia bila tatizo ila hao wengine watakwambia kwenye simu sina ataleta sababu mbali mbali nia yake uje uchukue, haya