Wanaume povu ruksa

Inasikitisha sana...

Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kingine kwa juhudi za serikali ya awamu hii, hayo mambo hayopo tena...


Cc: mahondaw
 
msalimie Kiduku Lilo
 
Yashakukuta eeeh
 
Kila mtu apambane na hali yake.

Kama danga anaona kuhonga mwanamke kunampa amani afanye tu ivyo.

Kama mwanamke anaona kutumika na wanaume wengi Kuna mpa amani na adange tu .

Ila kila kitu kina mwisho wake .
Dangeni tu, ila mtavuna mnachopanda
 
Sielewi mimi nafeli wapi. Kumbe maisha ni marahisi hivi. Ahsante mtoa mada kwa kunipa ka idea amazing.
 
Wengine wanatudai sana Nillimuingizia muamala wa airtel akiwa amegoma kutoa pichu mpaka apate.nikaingiza na kuurudisha dk 30 baadae nikiwa nimepiga show.
Acha tu wajilipe
 
Wengine wanatudai sana Nillimuingizia muamala wa airtel akiwa amegoma kutoa pichu mpaka apate.nikaingiza na kuurudisha dk 30 baadae nikiwa nimepiga show.
Acha tu wajilipe
Mungu anakuona ujue
 
Malimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
 
Tatizo ni umasiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…