Wanaume nyie

Huyo ni mmoja tu,mwanamitindo anawakilisha wapigwa mswaki.
 
Yaani hawa watu pindi niwaonapo huwa napatwa na hasira ya ghafla
hivi wengine mishipa ya aibu wanakuwa hawana kabisa au ni vipi...!?

mtu wa hivyo nikimjua sitaki hata aniguse aisee anaweza chezea ngumi za haraka haraka....wapuuzi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…